Nyaraka za mpaka wa Tanzania na Malawi zapatikana

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,051
Wakuu habari za Leo,

Habari hii imejitokeza kwenye baadhi ya Magazeti ya Leo ikiwa kwenye vichwa mbalimbali, nimeiweka hapa ili tuijadili, karibuni kwa mjadala
 
Zimepatikana wapi? Lilongwe au Dar? Kama Lilongwe imekula kwetu.
 
Zimepatikana wap? Kilichofanyika ni makabidhiano ya zile nyaraka kutoka kwa naibu katibu mkuu wa zaman ambaye alikiwa mwenyekiti kutoka Tanzabnia katika utatuzi wa tatizo la mpaka wa Tz na Malawi kwenda kwa katibu mkuu wa sasa na naibu wake kwani yule wa kwanza hajapata nafasi katika serikali ya Ngosha… na sio kama hazikuwepo hapana
 
Back
Top Bottom