Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,627
- 30,952
Uongo mtupu.Hyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..
Lakn mpak leo hakuna repair kwenye vifaa vyao , vimechoka vibaya....ukiachilia mbali pesa ya miradi kuchelewa lakn pia wapo narrow Sana kurun project nying nying Kwa mpigo....wingi wa miradi unazidi uwezo wao wa kuhudumia
Kutokuwepo BRELA si hoja. Anaweza kutumia mtu mwingine. Hilo ni common mno!Uongo mtupu.
Umepitia BRELA kuthibitisha madai yako?
Majungu yatawamaliza nyie vibulushuti!
Mbona kuna barabara inajengwa na mchina toka 2009 had leo haijakamilika?Mkuu yani hiyo kampuni ni janga kubwa kwa wakazi wa kibondo na nyakanazi barabara yao Bado haijakamilika tangu 2015 na hakuna kinachoendeleahata waziri mkuu alishaitishia kuinyima kazi lakini baadae alionekana kunyongonyea siyo tu waziri mkuu mbarawa akiwa kwenye wizara ya ujenzi aliisema Sana lakini hakuna kilichofanyika
Kutokuwepo BRELA si hoja. Anaweza kutumia mtu mwingine. Hilo ni common mno!
Dodoma,Kuna barabara ya Kutoka geti la UDOM hadi njia ya panda ya barabara ya kwenda Moro.Ni kipande cha km 15 tu.Huu ni mwaka wa saba hawajamaliza.Mimi siamini kama ni ya Mjomba Magu,isingekuwa ya kichovu kiasi hiki
Ni ya jiwe na bashiteMalalamiko ni mengi sana kuhusu hii kampuni. Kuna sehemu nilisoma kwamba kuna mtu MZITO ambaye ana hisa hapo. Sijawahi kufahamu huyo mtu MZITO ni nani.
Kwani kiongozi kumiliki kampuni ni kosa?..Hii nchi tunaogopana mpaka tunatia kinyaa,kwahiyo kama kampuni yake asisemwe!?..kwani hata akijulikana kuwa yeye ni mmiliki kuna tatizo hapo? Kwahyo asiwekeze ategemee mshahara tu..mbona Trump makampuni yake yanajulikana na hakuna tatizo lolote..hii mentality ya kimaskini ni moja ya sababu tunaonekana watu wa ajabuKwanza TV wamefungiwa kwa kuandika jina moja la mtu maarufu na kuzuia taharuki.Sasa wewe unataka balaa
Mbona kuna barabara inajengwa na mchina toka 2009 had leo haijakamilika?
Sio kazi ya mkandarasi kutafuta pesa za kujengea miradi ila serikali itoe pesa mkandarasi ajenge.Ukiona hivyo jua kwamba miradi hiyo ni ya pesa za ndani huwa inachukua mda mrefu sana kukamilika maana serikali huwa inatoa pesa kiduchu au hailipi kabisa kwa kukosa pesa.Miradi ya mikopo na pesa za wafadhili ndio inakwenda speed
Are you sure?Jpm has no stake in Nyanza.
Miradi yote inayotekelezwa kwa fedha za ndani maarufu kama development budget projects huwa haikamiliki kwa wakati na sio huko tuu ni nchi nzima,lawama kwa John maana serikali huwa haina pesa ila ukiona mradi uko Fasta jua ni mkopo au mfadhiliNajua kama ndio hao Nyanza waliopewa tenda ya barabara za UDOM
Kumbe hii campuni ni ya PatelView attachment 1252007
Sasa tatizo ni la nani,mkandarasi au wasimizi? Kama wametumia hicho kiasi manake kazi iko 70% sasa si watoe pesa mkandarasi amalize kazi? Practically huwezi lipa kazi haijafanyikaMakonda kasema kwa barabara ya Kitunda Kivule walishakula hela zaidi ya 70% kwa hiyo ukata sio sababu
Kwani kiongozi kumiliki kampuni ni kosa?..Hii nchi tunaogopana mpaka tunatia kinyaa,kwahiyo kama kampuni yake asisemwe!?..kwani hata akijulikana kuwa yeye ni mmiliki kuna tatizo hapo? Kwahyo asiwekeze ategemee mshahara tu..mbona Trump makampuni yake yanajulikana na hakuna tatizo lolote..hii mentality ya kimaskini ni moja ya sababu tunaonekana watu wa ajabu
Hii kampuni ya ujenzi wa barabara yenye makao yake pale Bwiru road Mwanza itakuwa na bahati sana.
Kila wakati inalalamikiwa sana kwa kuchelewesha miradi ya barabara lakini bado inapewa tenda.
Makonda kaisema sana kuhusu barabara ya Kitunda to Kivule mpaka katishia kutoipa tena Kazi mkoani Dar
Lakini pia kampuni hii ilipewa kazi ya kutengeneza Barabara ya Nyakanazi Kakonko mpaka Kibondo miaka mitano iliyopita. Lakini mpaka leo hakuna hata km30 zilizojengwa. Wakaazi wa Kigoma na Kagera hasa wilaya za Bihalamuro, Kakonko na Kibondo wanapata taabu sana. Barabara hiyo ni diversions to mpaka Kalenge.
Barabara za Musoma mjini nazo pia hoi na ni kampuni hiyo hiyo walipewa tenda. Au kuna kitu hatujui kuhusu kampuni hiyo. Inaweza kuwa ni kampuni ya serikali lakini hatujui.
Sasa kama hakuna uthibitisho wowote, tutajuaje kuwa HATA WEWE una hisa pale, inabaki kuwa majungu tu!Kutokuwepo BRELA si hoja. Anaweza kutumia mtu mwingine. Hilo ni common mno!
Haki ya nani, wewe ndo una akili kupita wote humuna kuleta ushahidi.Kumbe hii campuni ni ya PatelView attachment 1252007
Itakuwa ni bunda kwenda ukerewe, kupitia kisolya!! (bunda to kisolya)Hyo barabara inapita ziwani?
Nasikitika ya kwamba na Ujanja wako wote umeshindwa hadi hii leo kujua hiyo Kampuni ni ya Mtu muhimu gani ' Kikatiba ' Tanzania Bara na Visiwani.