Simulizi za Kale tulikuwa tunaambiwa Nyani wanapenda wadada ila wanaogopa wanaume! Naona huyo dereva alikuwa wakike
Yeah yeah umenikumbusha ndivyo tulivyo kuwa tunasimuliwa nakumbuka mjomba angu alisema nyani anaweza kuomba kujiexpress kwa kina dada kwa kuonyesha vidole hahaha wewe vp hukusikia hii?
Simulizi za Kale tulikuwa tunaambiwa Nyani wanapenda wadada ila wanaogopa wanaume! Naona huyo dereva alikuwa wakike
Hahahaha hao nyani wanaweza hata kufungua mlango na wakazama ndani duhh
Wanaepua hadi sufuria jikoni hawana maana kabisa
Hahaha niliwahi kuambiwa hao nyani sijui ngedele walimuiba mtoto kichanga wakapanda nae juu ya mti ilikuwa kazi mazee kumshusha mtoto.
Nakumbuka hata case ya yule mtoto aliyetangazwa sana kwenye vyombo vya habari ambaye alikaa na nyani kwa muda wa kama miaka mitano hivi au zaidi na aka-adapt mambo yote ya kinyani. Yah ni ngumu sana kuwanyang'anya kitu walichonaco hwawa hata kuwaua nasikia ni ngumu sana