Ngoja nije PMHa ha haa.. Bibie mimi kunyonya kidole kwangu haijawahi kuwa tatizo, tatizo lilikua ni utundu na uchafu, enzi zangu maza asingenivalisha nguo yenye rangi hiyo Aisee maana baada ya dk 5 usingenitazama mara mbili.
Poa.Ngoja nije PM
Huyo mtoto wa kiume au wa kike? Tuanzie hapo kwanza kabla sijauliza swali langu lingineHa ha haa.. Bibie mimi kunyonya kidole kwangu haijawahi kuwa tatizo, tatizo lilikua ni utundu na uchafu, enzi zangu maza asingenivalisha nguo yenye rangi hiyo Aisee maana baada ya dk 5 usingenitazama mara mbili.
Wa kiume mzee-mama.Huyo mtoto wa kiume au wa kike? Tuanzie hapo kwanza kabla sijauliza swali langu lingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh bas sawa na swali langu la pili nimeshajijibuWa kiume mzee-mama.
Uswahilini dole wanalitia pilipili ili aache kunyonya vidole..