Nyangwine amponda mwigulu

Nyangwine amponda mwigulu

NYADOGI

Senior Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
132
Reaction score
24
Katika hali isiyo yakawaida leo jioni wakati wakuchangia bajeti, bwana Nyangwine huku akijua kuwa analolisema linaweza kutafsiliwa vinginevyo amemponda waziwazi bosi wake Mwigulu Mchemba kwa kuvaa bendera ya taifa shingoni.'' Mh. spika kuhusu vazi la taifa ninaomba utaratibu wa kupata vazi la Taifa ufanyike haraka ilikuondokana na hali ya watu kuvaa bendera ya Taifa kama anavyofanya Ndugu yangu Mwigulu'' hali hii ilimfedhehesha sana Mwigulu nakutoamini kama maneno haya yanatolewa na mbenge wake wa CCM. kama asingekuwa ni mbunge wa CCM bila shaka angeomba mwongozo. Bwana Mwigulu, kuvaa bendera shingoni ni kutojitambua. ACHA hadi wenzio hawapendezwi
 
Huyo naye anahesabu siku za kukaa mjengoni; Kwani Mwigulu kujinyonga na bendera ya taifa ina uhusiano gani na maisha magumu yanayo tukabili sisi walala hoi kila kukicha?
 
maji yamefika shingoni watasema yote
 
Katika hali isiyo yakawaida
leo jioni wakati wakuchangia bajeti, bwana Nyangwine huku akijua kuwa
analolisema linaweza kutafsiliwa vinginevyo amemponda waziwazi bosi wake
Mwigulu Mchemba kwa kuvaa bendera ya taifa shingoni.'' Mh. spika kuhusu
vazi la taifa ninaomba utaratibu wa kupata vazi la Taifa ufanyike
haraka ilikuondokana na hali ya watu kuvaa bendera ya Taifa kama
anavyofanya Ndugu yangu Mwigulu'' hali hii ilimfedhehesha sana Mwigulu
nakutoamini kama maneno haya yanatolewa na mbenge wake wa CCM. kama
asingekuwa ni mbunge wa CCM bila shaka angeomba mwongozo. Bwana Mwigulu,
kuvaa bendera shingoni ni kutojitambua. ACHA hadi wenzio
hawapendezwi

Ala kumbe huyu mchemba anavaaga bendera. Mbona sio ya magamba yake.
 
Mwigulu expiry date yake ipo karibu..... RIP Mwigulu....asante kwa matusi na Kejeli zako.
 
Huyu Nyangwine ndicho alichotumwa na wapiga kura wake? Mbona kuna matatizo mengi ya msingi ambayo angeweza kuwasemea watu wa Tarime kuliko hili?
 
Uyo nae huwaga anadhani sifa na liskafu lake uzalendo wa kweli sio lazima ujifunge skafu shingoni watu watakutambua tu
 
Mwiguru anatakiwa kutubu dhambi zake maana Kila nkimwona Nasikia uchungu sana moyoni mwangu kwasababu mambo yake hata shetani atamkataa!
 
Zamani ulikua ukikutwa na bendera ta taifa unakamatwa. ikigusa chini unaipata kiaina. nashangaa? Hata lile kapeti la bunge ni dhihaka kwa taifa, kanyaga Tanzania?
 
Criminals are born.
Mwigulu Nchemba was born..........therefore
Mwigulu nchemba is a....................
 
Back
Top Bottom