Nyangwine amponda mwigulu

Nyangwine amponda mwigulu

Si mpondi mi kwa Mwigulu kuvaa bendera ya Tanzania,ni uzalendo mkubwa nachukizwa na watanzania wanao vaa bendera ya nchi za Marekani,Jamaica,S.Africa na nyingine.Nyangwine aongelee taabu za wananchi wake
 
Uvivu wa kufikiri tu huo. Wala siyo ubunifu. Tena sheria za nchi zinakataza matumizi mabaya ya bendera ya Taifa. Hii ni kutafuta umaarufu. Na umaarufu wa Mwigulu ni kama mnavyoujua. Akitaka apake rangi nywele, anyoe kiduku au afuge rasta kabisa ili aonekane vizuri.
 
Mwigulu si amekuwa bubu jamani au masikio yangu, maana baada ya Kamanda Rwekatale kufutiwa mashtaka ya ugaidi amekuwa bubu ghafla maana kajua hela walizozitoa km m100 kwa video feki zinawatokea puani, chezea watu wa mujini wewe, yeye katoka singida huko akajifanya wa mjini sasa wamemtoa kamasi.
 
Huyu Nyangwine ndicho alichotumwa na wapiga kura wake? Mbona kuna matatizo mengi ya msingi ambayo angeweza kuwasemea watu wa Tarime kuliko hili?
Kwani Mwigulu naye alitumwa na wapiga kura wake kumvalisha mbwa bendera?
 
safi sana huo ndio ukweli na haina shaka mwingulu amejisikia vimbaya sana hata mimi huwa najiuliza maswali mengi sana inakuwaje kibaka avae bendera ya taifa shingoni au ndio uchawi wake
 
Back
Top Bottom