Nyampulukano Sekondari Mpo?

Katikomile

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2007
Posts
471
Reaction score
74
Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi
 
mnh, nyampulukano iko mkoa gani hiyo?
 
Mkuu shule hii ipo wapi? Ndio kwanza nasikia jina hilo leo
 
du we mnyampu?

we basi ni mtani wangu, maana nakumbuka siku moja tuliwazuia kupita eneo la seminary yetu pale, dada zenu walikuwa wanatutia najis sana.maan watu tulikuwa na wito kama gunia 60 hvi baadae wito ukawa haujai hata kifuniko cha kalamu!!
 
Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi

hizi ni zile shule za kufaulisha mtu mmoja kila 25 yrs,so hawapo humu subiri 2023 utapata mwenzio!na hii thread mbona haipo mahali yake? japo ni ya last yr!
 
Du umenikumbusha mbali sana mkuu. Nakumbuka tulicheza nao mpira waha jamaa pale sengerema secondary
 
hahah lakini we Mnyampulukano mbona Avatar yako ..inanipa kigugumizi
 
..........Mhhhhh!! Hii shule ndio kwanza naisikia leo.
 
Chakula chao kikuu ilikuwa ni michembe,mwaikumbuka hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…