mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Leo kulikuwa na mkutano wa Wenje ..pia alikuja na wasanii wa team mabadiliko. Kwa kweli kutokana na umati uliojaa uwanja wa shule ya msingi mirongo. Kutokana na watu kuwa wengi sana msanii Ney wa mitego wakati amepandishwa na idadi ile ya watu ..ikabdidi mkutano ufungwe kabla Roma mkatoliki hajapandishwa jukwaani.
Wakati wasanii hao wanaondoka kutokana na idadi kubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo wa mbunge wa nyamagana kuwa wengi sana kama wa mgombea urais ...ilibidi polisi wapige mabomu kama mvua kusambaratisha watu..hadi mida hii bado maeno ya mirongo na njia ya kwenda bugando ni mabomu tuuu. Watu ni wengi sana inabd polisi watumie ustaarabu.Watu wanamtaka Roma Mkatoliki. Jamaa amekua shujaa kwa mda mfupi.
Mgombea wa CHADEMA aliingia uwanjani hapo kwa chopa anayotumia mheshimiwa lowasa