Nyamagana Mwanza: Utozaji wa loss report form kwa tsh 1,000/= ni halali?

NJUGHU

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
381
261
Kutokana na mfumo wa sasa kupoteza line za simu sasa imekuwa kero maana raia wanalipa TSH 500/= ambayo yenyewe inakatiwa risiti haina shida japo foleni ndefu

Kero iliyopo Police cetral
NYAMAGANA Mwanza ni pale inapotokea copy ya loss report office ya OCD inaposainiwa na kugongwa muhuri. Bila 1000/=hupati hiyo loss report kwa kila ulichopoteza.

Je hii ni halali na imehalalishwa maana fedha inakusanywa waziwazi na kuna droo yake. Kama huu utaratibu wa malipo ni halali basi liwekwe tangazo na wananchi wapate risiti.

Je kama si halali jambo kama hili linafanyika ndani ya chombo cha usalama je kwingine si balaa? Ni kwamba PCCB wanaogopa kuingilia police?
Hii nimeikuta nilipokuwa safarini Mwz huku Dar sijaona.
 
Heheee wasukuma walikuibia eeeh
 
Kwa upande wangu mi najua ni mia tano ambayo unakatiwa risiti
Hiyo 1000 labda ni utaratibu mpya inatakiwa tupewe ufafanuzi
 
Back
Top Bottom