Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
Afadhari! Apa sasa nitakuwa sawa. Maana nilikuwa najisikia vibaya ile kinoma.Hakuna nyama yenye madhara, ni mazoea tuu.
Tulikula daily kwa siku 90Nikisema nielezee, maelezo yatakua mengi.
Ila swali ni moja, nyama ya punda inaliwa?
Kama inaliwa kuna athari gani nitapata mwilini.
Msaada tafadhali ili nichukue hatua.
umeanza penda nyama ya punda lini mkuu ?Kama inaliwa kuna athari gani nitapata mwilini.
Msaada tafadhali ili nichukue hatua.
Me ndo mara ya kwanza kula, tena kwa bahati mbaya ndio maana nikawa na wasiwasi.Nilienda Mpwapwa kuna kijiji kinaitwa Berege nkakuta wanauza mnadani na bei yake kwa kilo ilikuwa rahisi kuliko nyama ya Ng'ombe..Mimi binafsi nimeona kwa macho mtu anakula kenge,mwingine chatu,kuna watu walikula chui na hawakudhurika..
Aise tamu hiyo asikwambi mtu[emoji1]umeanza penda nyama ya punda lini mkuu ?
ulikuwa na wasiwasi ukala, kuna siku unakula ya mbwa unaleta uzi tena " nyama ya mbwa inaliwa ?"Me ndo mara ya kwanza kula, tena kwa bahati mbaya ndio maana nikawa na wasiwasi.
Aaiseee !Aise tamu hiyo asikwambi mtu[emoji1]
Utakula mshedede?Nikisema nielezee, maelezo yatakua mengi.
Ila swali ni moja, nyama ya punda inaliwa?
Kama inaliwa kuna athari gani nitapata mwilini.
Msaada tafadhali ili nichukue hatua.
duh! we noma !Mimi nyama niliyoshindwa kula ni ya nyoka tu. Na sababu ni kwamba nina phobia ya reptiles, lakini nyingine zote kitu na box
Ila wewe😁😁😁Utakula mshedede?View attachment 3584295