Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,280 Reaction score 7,968 Jul 24, 2025 #21 Supply & demand
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,281 Reaction score 8,687 Jul 24, 2025 #22 Hee hoo said: Watu Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600 Click to expand... Nyama nyama nyamaaa....nyamaaaa Nyama ya mbwa....nyamaaaa
Hee hoo said: Watu Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600 Click to expand... Nyama nyama nyamaaa....nyamaaaa Nyama ya mbwa....nyamaaaa
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 597 Reaction score 1,240 Jul 24, 2025 #23 Msasani huku nyama kilo 10000 na watu hawanunui .
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,861 Reaction score 8,525 Jul 25, 2025 #24 Hee hoo said: Watu Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600 Click to expand... Na beii hii itakua IRinga..maana huko mna mbuzi wenu wa kahawia tupu
Hee hoo said: Watu Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600 Click to expand... Na beii hii itakua IRinga..maana huko mna mbuzi wenu wa kahawia tupu
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,958 Reaction score 1,866 Jul 25, 2025 #25 Sasa nyama you naenda kwa wajomba nyie lazima ipande Mara dufu kwa wajomba Bei imepungua angalau wanakula vitunorganic na fresh kutoka longido na minadani....mitano tena
Sasa nyama you naenda kwa wajomba nyie lazima ipande Mara dufu kwa wajomba Bei imepungua angalau wanakula vitunorganic na fresh kutoka longido na minadani....mitano tena
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 Jul 25, 2025 #26 Hali ni hatari, kwa hapa Masasi bei ya nyama ni tsh 15,000 Stake na tsh 12,000. mchanganyiko. Ni mwendo wa MBAAZI tu kwa kwenda mbcle...
Hali ni hatari, kwa hapa Masasi bei ya nyama ni tsh 15,000 Stake na tsh 12,000. mchanganyiko. Ni mwendo wa MBAAZI tu kwa kwenda mbcle...
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,481 Reaction score 138,348 Jul 25, 2025 #27 Punguza tu kula nyama Wenyewe wapunguza bei Ova
choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,289 Reaction score 4,093 Jul 25, 2025 #28 Hee hoo said: Watu Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600 Click to expand... Mkoa upi huo?
Hee hoo said: Watu Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600 Click to expand... Mkoa upi huo?
choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,289 Reaction score 4,093 Jul 25, 2025 #29 Jephta2003 said: Mkoa gani huo,Mwanza ni sh 9,000/ mpaka sh 10,000/ Click to expand... Huku kujijini ambako Ng'ombe ndio zinatoka huku ni elfu 12
Jephta2003 said: Mkoa gani huo,Mwanza ni sh 9,000/ mpaka sh 10,000/ Click to expand... Huku kujijini ambako Ng'ombe ndio zinatoka huku ni elfu 12
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,506 Reaction score 20,484 Jul 25, 2025 #30 kimsboy said: Huku Goba kwetu nyama kilo ni 13000 na ile ya Grade one steki ni elfu 15 Kwenu bei ipoje? Asante Daktari Samia hakika unaupiga mwingi kwani ulipoingia Nyama kilo ilikua 5000 sasahivi ni elfu 15 samia hoyee Mitano tena ili nyama ifike elfu 50 kilo!? Kwenu bei ipoje? Click to expand... Niko njiani Mcharo son said: Mikoani wapi taja huko. bei ya nyama kilo sh. 5600 Click to expand... Shinyanga
kimsboy said: Huku Goba kwetu nyama kilo ni 13000 na ile ya Grade one steki ni elfu 15 Kwenu bei ipoje? Asante Daktari Samia hakika unaupiga mwingi kwani ulipoingia Nyama kilo ilikua 5000 sasahivi ni elfu 15 samia hoyee Mitano tena ili nyama ifike elfu 50 kilo!? Kwenu bei ipoje? Click to expand... Niko njiani Mcharo son said: Mikoani wapi taja huko. bei ya nyama kilo sh. 5600 Click to expand... Shinyanga