Nyama kilo 12000, asante Rais Samia kweli unaupiga mwingi

Nyama kilo 12000, asante Rais Samia kweli unaupiga mwingi

Ni kweli ulaya Denmark na Norway kilo ya unga wa muhogo ni elfu 15. Mhindi mmoja tu shilingi elfu nane. Fungu la mboga shilingi elfu sita. Kuku ndo dagaa wa huku bei chini. Mna bahati sana mnakula dagaa kila siku. Tumechoka na kuku na sausages.
Bamia afusamanini fungu
 
Hii ya mzanzibari kutawala Tanganyika inafikirisha sana........zanzberi isipokuwa kama Newyork safari hii basi wakatambike.
 
Ni mwendo wa dagaa,uono,bangara na bobwe. Nyama anasa
 
kuna siku nilimwambia jamaa matumizi ya nyumbani ni 35000 kwa siku na kubisha.ila nilipo mueleza

nyama kilo 8000*2kg =16000 hapo nifamilia ina watu 9
ujanunua vitu vingine na mambo mengine
 
Nyama kilo kwa sasa ni 10,000 kwa 12,000 ile ya steki

Hiyo ya 10000 ni nyama ya hovyo mixture mifupa, stake ni 12000

Nyama ilishuka ikawa 6000 miezi kadhaa ilopita sasa ni elfu 12 kwa stake elfu 10 kwa kawaida

Ninajipinda ninanunua tu maana watoto wamezoea hivyo siku ya dagaa wanatoa toa tu macho hawana furaha

Mimi sielewi watu wengine wana hali gani mimi tu naona hivi.....Halafu anatokea mwehu mmoja anasema anaupiga mwingi kuna siku nitapewa kesi ya kumnasa mtu vibao sipendi uchawi usio na impact mimi msifie mtu pale anapofaa kusifiwa sio ujinga kama huu wa kusifia fia ujinga

Ila ninafurahi sana tena sana wacha tuteseke maana tumekua waoga na watu wa kulalamika tu mimi hata ikifika kilo elfu 20 fresh tu nitakua nanunua huku nikijua akili sote zitaanza kutukaa sawa

Kuna siku tutaongea lugha moja siku ambayo hangaya hatoamini macho yake ashatuona sisi wote ni hamnazo kama waznz walivyo na desturi ya kuwadharau wabara

Ni kweli yeye ni Rais lakini ktk jicho la rohoni la muungano wa nchi mbili utagundua tunatawaliwa na mtu asiye wetu kwahyo hawezi kuwa na uchungu na sisi maana ni kutoka nchi ya upande mwingine wa sarafu ya muungano

Kweli anaupiga mwingi kila kitu kitapanda kwasababu ya vita vya Ukraine na Urusi aliwahi kusemkukataiizi hadi maharage sabuni za mo soda zimepanda pia maana nazo zinatoka ukraine na Urusi

Sawa mama tumekuelewa basi hewallah bora yesheee
Mkuu mapori yako mengi kafuge uje ukamatie fursa ya kuuza 5,000 kwani shida Nini?

Kuku anahzwa 25,000 huna Pesa kula dagaa.

Mwisho pamoja na hiyo Bei vipi bucha zimefungwa ? 😁😁
 
Alisha sema tangu mwanzo kabisa yeye mzenji..huku kaja kutalii tu

Hana uchungu na tanganyika...kamwe hawezi kua na uchungu nayo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Duh halafu bado mnaambiwa deni la taifa ni himilivu, na kuhamia Burundi mmegoma POLENI sana ndugu zangu,
" Wazuri hawafi" 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom