Nyakati na watu

Ni wakati wa kura tu ndio utaona hilo!! Hata kama kuna mginjwa serious ndata watakupiga pin mpaka hao watu wapite bada ya dk 50!!!
 
Huyo faru kila anakopita lazima aache majonzi na mfadhaiko.
 
Huyo faru kila anakopita lazima aache majonzi na mfadhaiko.
 
Hivi hawa walinz wa raisi kwanini wanafuga vitambi??
 
Mpaka anafika hapo kwenye foleni kumeshafanyiwa savei ya maana mno ndani ya siku 3 nyuma kabla hajafika hata eneo hilo
Mshana ulitaka uone mgusano wa raia na prezident? Hujui kuwa raia wa sasa wanatembea na bisibisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…