Nyakati na watu

Nimezoom hiyo picha no3 na kumwangalia mmoja baada ya mwingine kama refa anapotumia VAR, facial expression zao zinaonesha wanajuana wote na wanajua wanachofanya. Ukizoom wale kule mbele kwenye miti ndio wanawashangaa akina meko sasa.
Ina maana picha yenye uhalisia kwa 100% ni ya watu wa kwenye miti.
 
Picha namba 3 ina ma gape makubwa makubwa tofauti na namba 1 na 2
 
Mshana ulitaka uone mgusano wa raia na prezident? Hujui kuwa raia wa sasa wanatembea na bisibisi.
Acha kuwasingizia mkuu, zamani ndio kulikuwa na vijana watata,Hadi disco walikuwa wanaingia na zana
 
Mkuu ni movie hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…