October
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 2,145
- 93
Nafikiri umesha mwelewa kuwa filosofia yake ni kutoka kwa mama yake kama alivyo thibitisha mwenyewe kwa New York Post. Hakuna hata sehemu moja katika hii habari tunasoma kuwa alijifunza kufanya mazuri kupitia Koran, na/au Allah na/au Muham-mad, zaidi ya kuwapiga chenga ya mwili na kumsifia mama yake kipenzi.
Mama yake ni mzazi bora, kwasababu aligundua kuwa, kama angetumia Koran kumfunza mwanae, basi leo hii huyu jamaa angetokomea na fweza za watu na kuzituma kwa matalabani.
Hii habari inatia moyo na kuonyesha kuwa, kumbe Waislam wanaweza kuwa watu wazuri kama watawasikiliza Mama zao ambao wananyanyaswa na Allah na kuto pewa hata ahadi moja na allah, kwamba, baada ya kifo ni nini watapewa au pata. Nani kama MAMA?
Yaani una maana wanawake hawajaahidiwa thawabu yoyote na allah?
Mbona huu ni ubaguzi wa waziwazi?