Yajayo yanafurahisha
New Member
- Jul 20, 2024
- 4
- 37
Hiyo ndoa ilishajifia, mkeo hakuheshimu tena, ni kwanini hakuheshimu sababu ni kwamba yupo anaemuheshimu.Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Achukue hili.Hiyo ndoa ilishajifia, mkeo hakuheshimu tena, ni kwanini hakuheshimu sababu ni kwamba yupo anaemuheshimu.
Kusubiri abadilike ni kupoteza muda.
NB:SIJAOA.
Maamuzi ni yake mkuu.Achukue hili.
Ila unweza kukuta unaumia roho bure. Sio kila mtu anaweza kufanya biashara kama ambavyo sio kila mtu anaweza kuwa mwalimu. Umewahi kumuuliza ni kitu gani angependa kufanya kumpatia mia au mia mbili ya vitu vidogo vidogo? Anzia hapo huku ukiendelea kuhudumia familia kama ambavyo umefanya siku zote bila kutarajia apatacho akitumie 'kukusaidia' kwanza. Ukivuka hatua hii, mnaweza kukaa tena kuzungumza sasa hayo mengine. Na sio uchoyo wala ubinafsi kwa upande wake, miaka yote 14 hajawahi kuchangia 100 leo hii unamuambia asaidie kuhudumia familia.Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
Kashaambiwa mtaji sio wakeFunga hilo duka
mpe likizo ya miaka mi2 aende kwao.Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
lakini mwanamke ni wa kwake anaeza mwamulia chochoteKashaambiwa mtaji sio wake
Ni kweli lkn pia ameambiwa ukweli kabisa.Maamuzi ni yake mkuu.
Anachoweza kumuamulia kwa sasa kwa hali inayoendelea ni kimoja tulakini mwanamke ni wa kwake anaeza mwamulia chochote
na ubaya ndugu wamelishwa sumu tayari,,ila atakuja kulia vibaya uyo mwanamkeAnachoweza kumuamulia kwa sasa kwa hali inayoendelea ni kimoja tu
Kuna tabia utangoja mpaka uzeeke ukisubiri mtu abadilike.Ni kweli lkn pia ameambiwa ukweli kabisa.
Ujumbe mzuri sana huu,aufanyie kazi harakaPolee kaka mkubwaa miaka 14 c mchezo umevumilia vingi nazan hata hii ya ss ya mkee kuvaa apendeze akuheshimishee nalo litapitaa .View attachment 3047508
Tumuombee abadilike yasimfike hayona ubaya ndugu wamelishwa sumu tayari,,ila atakuja kulia vibaya uyo mwanamke