Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,239
- 22,865
Kulipiza kisasi imeruhusiwa
Mkuu panapo dhulma nyaraka za kisheria nadhani zina ukomo wake, binafsi Kuna mtu namdai pesa ambazo nilimpa ktk mazingira haya ya mleta mada, bahati nzuri nimemshinda mahakamani na kaamriwa alipe...lkn huyu bwana anachomiliki ni mshahara wake ambao ni kiduchu tu, Hana cha maana kingine...ktk mazingira ya namna hii bado najiuliza haki yangu naipataje...mkuu@Intelligent businessman: tia neno hapa tafadhaliBasi lichukulie Kama funzo, next time uki ingia partnership Jitahidi uwe na nyaraka za kisheria.
zenye kuonyesha nani ana fanya nini, kaweka Nini, majukumu yake ni nini na iki tokea faida au hasara matokeo yake ni nini.
Mambo ya hela yanasababisha utengano sana kwenye jamii pamoja na mauaji... Kuna mbwa mmoja ilibaki kidogo nimchomee ndani bahati yake niliwahi kwa mwanasaikolojia
Tena kwenye hicho kijimshahara kiduchu anakuahidi atakulipa kidogokidogo🤓🤓🤓🤓Mkuu panapo dhulma nyaraka za kisheria nadhani zina ukomo wake, binafsi Kuna mtu namdai pesa ambazo nilimpa ktk mazingira haya ya mleta mada, bahati nzuri nimemshinda mahakamani na kaamriwa alipe...lkn huyu bwana anachomiliki ni mshahara wake ambao ni kiduchu tu, Hana cha maana kingine...ktk mazingira ya namna hii bado najiuliza haki yangu naipataje...mkuu@Intelligent businessman: tia neno hapa tafadhali
Kuliko mtu akutese kwa mambo ya kitoto. Aliyoyaamua yeye kitoto kwa sababu za kitoto, muhrmko na tamaa .una mmaliza tuBora kumtia kilema kumuua kabisa inaharibu maisha yako mkuu utabaki unaishi Kama digidigi!
Mpaka ujulikaneMatokeo baada ya kummaliza ndo kipengele,ukishammaliza tu hasira na uchungu wote unaisha yanabaki majuto!!
Hiyo ndio nimekutana nayo mkuu..Sina hamu kbs!Tena kwenye hicho kijimshahara kiduchu anakuahidi atakulipa kidogokidogo🤓🤓🤓🤓
Mkuu kama niki kwambia uni lipe kiutaratibu uka goma, kisheria still una nisumbua.Mkuu panapo dhulma nyaraka za kisheria nadhani zina ukomo wake, binafsi Kuna mtu namdai pesa ambazo nilimpa ktk mazingira haya ya mleta mada, bahati nzuri nimemshinda mahakamani na kaamriwa alipe...lkn huyu bwana anachomiliki ni mshahara wake ambao ni kiduchu tu, Hana cha maana kingine...ktk mazingira ya namna hii bado najiuliza haki yangu naipataje...mkuu@Intelligent businessman: tia neno hapa tafadhali
Kama mdai wako Hana uwezo wa kukulipa, Sheria itaamua kama ana asset basi ziuzwe ili kufidia deniMkuu kama niki kwambia uni lipe kiutaratibu uka goma, kisheria still una nisumbua.
shibela
Basi nageuka upande wa 2, Wana sema "big fvck small" naenda kwa mtu aliye mkubwa kiuwezo zaidi yetu wote.
Ina weza kuwa kisheria, ki influence, power au hata kibabe (mambo ya ngumi hapa), so Kama nakudai 5m wewe usije shangaa una nilipa 7m mzee.
Grahams, Mshana Jr, Shimba ya Buyenze wata ongezea.
Kuua sijui, ila kulipa uta lipa.Kama mdai wako Hana uwezo wa kukulipa, Sheria itaamua kama ana asset basi ziuzwe ili kufidia deni
Ama kama anamiliki mshahara pekee basi mnaweza kutengeneza timeframe ya yeye kurudisha kidogo kidogo hadi deni liishe.
Jambo la kuepuka ni kudhurumu maisha ya mwenzio hata kama amekudhurumu milioni ngapi
Mara nyingi ukimwaga damu ya mtu hata kama itakuwa kisiri Siri basi lazima itakuja kukulilia usiku ukiwa umelala
Jambo lingine la kuepuka ni kumkabidhi mtu fedha/Mali bila kuandikishiana
Waswahili wanasema mali bila daftari huisha bila habari
Mzee una experience na hili ehh😁Mara nyingi ukimwaga damu ya mtu hata kama itakuwa kisiri Siri basi lazima itakuja kukulilia usiku ukiwa umelala
Hapo sawa, unatumia mbinu zote hadi mdeni wako alipe deni lote hata kama itakuwa Kwa awamu kadha wa kadhaKuua sijui, ila kulipa uta lipa.
Umri huu nilionao ni umri wa Toba kabla hatujarudi mavumbiniMzee una experience na hili ehh😁
Mkuu tunachokizungumzia ni kwamba mdaiwa keshaamriwa na mahakama alipe, shida iliopo mdaiwa Hana asset ya maana zaidi ya mshahara kiduchu anaomiliki..je zipi ni procedure za kumbana angalau alipe Kwa huo huo mshahara mdogo anaomiliki? Grahams elimu kidogo mkuu.Kama mdai wako Hana uwezo wa kukulipa, Sheria itaamua kama ana asset basi ziuzwe ili kufidia deni
Ama kama anamiliki mshahara pekee basi mnaweza kutengeneza timeframe ya yeye kurudisha kidogo kidogo hadi deni liishe.
Jambo la kuepuka ni kudhurumu maisha ya mwenzio hata kama amekudhurumu milioni ngapi
Mara nyingi ukimwaga damu ya mtu hata kama itakuwa kisiri Siri basi lazima itakuja kukulilia usiku ukiwa umelala
Jambo lingine la kuepuka ni kumkabidhi mtu fedha/Mali bila kuandikishiana
Waswahili wanasema mali bila daftari huisha bila habari
Kuhusu mshahara wake kuwa mdogo haihusiani na madai yakoMkuu tunachokizungumzia ni kwamba mdaiwa keshaamriwa na mahakama alipe, shida iliopo mdaiwa Hana asset ya maana zaidi ya mshahara kiduchu anaomiliki..je zipi ni procedure za kumbana angalau alipe Kwa huo huo mshahara mdogo anaomiliki? Grahams elimu kidogo mkuu.
Fata nilicho kuambiaMkuu tunachokizungumzia ni kwamba mdaiwa keshaamriwa na mahakama alipe, shida iliopo mdaiwa Hana asset ya maana zaidi ya mshahara kiduchu anaomiliki..je zipi ni procedure za kumbana angalau alipe Kwa huo huo mshahara mdogo anaomiliki? Grahams elimu kidogo mkuu.