Nusura nijiunge CCM

Topic nzuri sana ILA vichaa wa CCM wanaiharibu, nawachukia sana sana
 
Aiseeee nilitaka nikushukue mkuu kwa maneno makali lakn baada ya kutulia na kuielewa thread, sina neno..

Pa1 kamanda.
 
My point kujiunga na chama is not a single event issue leo maselle kasema hivi najiunga kesho fulani kasema hivi najitoa nadhani ni more that that thus why democracy is not flourishing in Africa

"Nusura nijiunge na CCM" - ndo kichwa cha thread, nashawishika kuamini u-duni katika fasihi. Kusema " nusura..........." Kunaonyesha kiu au shauku aliyokwishakuwa nayo, ni lugha inay'onyesha jinsi gani mtu amekuwa katika kutafiti jambo kwa karibu. Ni dhahiri kuna ufatiliaji una'onekana kufanywa kwa mda mrefu pasipo hitimisho kwa sababu fulani na katika ufatialiaji huo kidogo afikie hitima yake lakini bado akagundua sivyo alivyodhani.

There is always a single event that becomes a turning point in a life cycle for every body or everything ....i.e. you only make a decision at one moment not many moments although the research may have gone over many.
 
Pole sana kaka kama unahitaji kujiunga na chama cha siasa na unatafuta mahali ambapo pana viongozi wenye UTHUBUTU basi kwa Afrika bada hawajazaliwa,hivyo chama hicho pia bado hakijazaliwa.

Kwanza kwa Maselle kumrukia Balozi wa Uingereza alionyesha UWOGA wa hali ya juu,maana Balozi yue wala hana hatia na Maselle anajua Balozi hana hatia ila anafanya kazi yake vyema ya kuhakikisha pesa za wapipa kodi wake zinafanya kazi iliyokuwa programmed na siyo kutajirisha mifuko ya wachache.

Ili kuitetea hoja yake akamrukia kamnyama kadogo ambako hakawezi kutosha mlo wa jioni.Maselle ameonyesha UWOGA wa wazi,angekuwa JASIRI na mwenye UTHUBUTU angetuambia ukweli bila kutikisa macho nani yupo behind IPTL SAGA.

Kwa heri na usiku mwema,ila pole sana maana chama ukitakacho utasubiri sana.
 
Alhamis tutamuuliza waziri mkuu juu ya kauli ya Masele bungeni ili ifutwe kwenye hansard, spika chonde chonde usimkingie kifua pinda nitakapouliza swali hili alhamis hii.
 
Subiri ukisha muuliza nita muuliza na mimi Mh. Benard Membe alienda kuongea nini na huyo balozi pale Serena Hotel baada ya week ya bunge.
 
Una miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…