Nursing officer na nurse assitant wanahitajika

Hildafranc

Senior Member
Jan 29, 2015
103
195
Habari wakuu,
Watu wenye ujuzi huu wanahitajika haraka.

-Nurse..Qualification,Degree/Diploma.Not above 38 years.
-Nurse assistant, Qualification,Certificate in nursing,Not above 35 years.
Qualified women are strongly encouraged to apply.

Interested applicant should send their application letters and CVs via admin@makivf.co.tz
Deadline 30th -December -2016.
 
Hildafranc

Senior Member
Jan 29, 2015
103
195
Mnapatkana wapi,mazingira ya kaz yakoje na wanahtajkka waangap?
Tunapatikana Mbezi Beach Tangi bovu.Tunashughulika na mambo ya upandikizaji wa ujauzito kwa kina mama. na matatizo mengine ya uzazi yanayowakabili kina mama na hata kina baba pia.(MAK IVF and Fertility treatment centre)
 
MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,316
2,000
Tunapatikana Mbezi Beach Tangi bovu.Tunashughulika na mambo ya upandikizaji wa ujauzito kwa kina mama. na matatizo mengine ya uzazi yanayowakabili kina mama na hata kina baba pia.(MAK IVF and Fertility treatment centre)
Madaktri hamtaki?
 
masikin hachoki

New Member
Dec 26, 2016
4
45
Habari wakuu,
Watu wenye ujuzi huu wanahitajika haraka.

-Nurse..Qualification,Degree/Diploma.Not above 38 years.
-Nurse assistant, Qualification,Certificate in nursing,Not above 35 years.
Qualified women are strongly encouraged to apply.

Interested applicant should send their application letters and CVs via admin@makivf.co.tz
Deadline 30th -December -2016.
Wapi huko ndg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom