Nursing colleges

bnyanya

Senior Member
Sep 27, 2013
178
195
Habari ni chuo kipi kinatoa coz ya mwaka mmoja nimesoma art form 4 na 6 nataka kutumia cheti cha form 4 nina three ya 25 ni d bios b engl na f maths form six nina three pia ya 13 nilimaliza form six 2008 d geog d history na e kiswahili
 

Magnificient

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,133
2,000
Nenda STATE COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES pale magomeni mapipa nyuma ya NEW BONDENI HOTEL utapata course unayotaka. Kwa maelezo zaidi ni PM namba yako ya whatsapp nikuforwadie tangazo lao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom