Aisee nimeiangalia hii picha mara mbilimbili nilichogundua hapo mwanamke ni mmoja na huyo mwingine nadhani atakua mwenzetu wa kiumeni,haiwezekani useme hao wote ni wanawake hebu angalia huyo kiumbe jamani,kweli wanawake ni wachache sana wengi wanasindikiza wenzao.