Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Habarini za jioni wana janvini wenzangu napenda kuwahabarisha hii NEWZ ambayo imetokea leo katika Hospitali moja hapa jijini Dar. Kuna nurse mmoja kafukuzwa kazi kisa kujamiina na mgonjwa wa wodi ya Private ambae wodi hiyo alikuwa amelazwa mgonjwa huyo usiku wa kuamkia leo.
Sasa ni sawa kweli kwa manesi wa namna hii kuendelea kuwafuga katika hali kama hii? Kisa mgonjwa huyo ana vijielaa tu dash. ...!
Sasa ni sawa kweli kwa manesi wa namna hii kuendelea kuwafuga katika hali kama hii? Kisa mgonjwa huyo ana vijielaa tu dash. ...!