Nunua data isiyo na ukomo kwa bei ndogo hapa

Hebu toeni utapeli wenu hapa, au unataka niwataje majna yenu hapa,,, hiyo namba uliyo iandika sio yako ni ya mtu ambae yupo humu humu, cha ajabu na yeye anakuja kukoment kama vile ameshatumia mtandao huu kumbe ni tapel, dawa yenu inachemka!!!
 
Screenshot_2018-03-06-04-45-38.png
 
Hao majamaa ni matapeli wanafata watu hadi kwenye pm ili wawateke, hyo pc alinitumia mmoja wao, mwanzon alituma bila namba, nkamwambia mbona hamna namba yako ndio akatuma na namba yake, lakin mim namjua bcoz ameshawahi kunitapeli kwenye mambo yake hayo hayo ya kujifanaya anajua kitu fulan wakat hajui, thread ipo mbion inshaALLAH!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom