mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
hello jf
nauza gari aina ya Toyota Corona Exiv..ni gari yangu hakuna udalali ipo dares salaam maeneo ya tabata
ni gari yamwaka 1999.....
inatembea na ipo kwenye hali nzur kama inavyoonekana nahitaji tu kuiuza maana nimenunua nyingine.
manual car
cc 1800
power windows (japo iko faulted ni ya kubadili kioo kimoja hakishuki).
black metalic
sports rimz
taa moja ya parking ya mbele kushoto imepasuka
odometer 180,000km
haijalipiwa roadlicense mwaka 1.
Full air conditioning.
Engine 3S aka moyo wa simba.
spair tyre na jeki vimo.
Gari inakimbia sana hii nimeitumia kwa miaka miwili bila matatizo yeyote ya kiufundi.......... na ulaji wa mafuta ni mdogo kompead na cc zake...
serious buyers nitumie Pm au piga namba 0789720923
Bei ya kuuza ni 3milion.
sababu ya kuuza nimenunua gari nyingine na sihitaji gari mbili.