Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

denisi_masoko

Senior Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
179
Reaction score
150
Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam.

Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.
Kwa sasa ujenzi umefikia floor ya 6 kwa phase 1


Unit ama apartments zinapopatikana hapa ni one, two na three bedrooms. Ambapo bei zake zinaanzia 94000 dola, mfumo wa malipo utachagua ww, ukitaka kulipa yote au kwa installment.

Na ukitaka kulipa kwa installment muda ni miezi 20 hadi 24 yaani miaka miwili.

Ukinunua apartments hizi unapewa umiliki wa unit yako kwa kupewa tittle died au hati ya jina lako kwenye hizi apartments.

Bei zake.

One bedrooms zinaanzia 94000 usd

Two bedrooms zinaanzia 143,000 usd

Three bedrooms zinaanzia 195,000 usd.

Bei hizi ni mpaka tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu, kwa sababu kuanzia tarehe 1 bei zinapanda, kwa sabb tulianza na bei hizi kabla hata hatujaanza ujenzi na kwa sasa tupo floor ya 6.


Mfumo wa malipo na discount

Kianzio cha malipo ni 30% na kuendelea.

Ukilipia 30% discount 5%

Ukilipia 50% discount 7-10%

Ukilipia yote discount 12-15%

Installment 20-24 months.


Kutembelea site yetu ni bure tunafanya kazi siku 7 kwa wiki.

Ofisi ziko wazi kuanzia saa 9 asubuhi hadi 12 jioni.
Location ya ofisi ilipo ndipo site yetu ilipo.

Naomba tupigie kama unataka maelezo zaidi ya mradi, ama unataka kuja site ama ofisini kwetu, namba 0743 598 873 whatssap pia ipo.

Karibuni mango tree residence muwekeze ni location nzuri sana kwa biashara ya airbnb, apartment renting, restarant ama unaweza kuweka hotel na ni mradi ambao una aminities zenye kuvutia wageni ambapo kwenye mradi huu kutakuwa na aminities zifuatazo
Tennis ground (Uwanja wa tennis)
Swimming pool 2
Gym
Oceanic bar
Eneo la michezo ya watoto.
parking ya kutosha.
Elevators
24 hours Security
CCtv cameras
Standby Generators
Garden
Beach acces
Click to expand...
Ukinunua apartments zetu za 120sq, 150sq, 98sq na 54sq utapata sea view proper.
karibu uwekeze hapa uzee hauna hodi.
Kwa maelezo zaidi ya mradi wasiliana nami.
Denis masoko

0743 598 873
 
Dar es salaam sio Nairobi Jombi
 
Dar es salaam sio Nairobi Jombi

Hapa kwetu kuna shida ya maji, hatuna vifaa vya zimamoto vya kuweza kuzima moto kwenye hayo maghorofa marefu moto ukitokea!! Jamaa wanataka kutakatisha fedha zao tu ; mradi kama huu na hizo terms na suitability yake is not only unsuitable for Tanzania but also not feasible.
 
Nyumba Tanzania zipo ghari sana kuliko hata bei ya Nyumba SA...
250m unapata nyumba ya 166m maeneo mazuri na unabaki na chenji ukitaka utumie 200m pia unaenda huko Rosebank,Edenvale unapata nyumba ya chini yenye swimming pool..
 
Ni mjinga tu atakae nunua chumba kimoja kwa hicho kiasi yaani million 250 ni upungufu wa akili.
Sawa muelewa
 
Sawa muelewa
Usijione mjuaji sana, service charge yetu kwa one bedroom ni 54$ kwa mwezi, hiyo unalipia vitu vifuatavyo, Elevators, Standby Generators, Security, cctv cameras, Usafi wa maeneo ya mradi wote, kama garden, swimming pool na kusafisha beach iwe katika hali nzuri. Ambapo ukipiga hesabu kwa hela ya Tanzania ni kama 140,000 hiv. Sasa kama hutaki kulipa service charges, umeme ukikatika na upo kwenye lift watu wakuache? Sasa kama hutaki kulipa service charge usafi utafanya ww? Sasa kama hutaki kulipia service chaji walinzi tukuachie uwaajri mwenyewe? Kumbuka ni eneo la kibiashara hili. Kuna muda bora uulize kuliko kujifanya mjuaji😂 Genz bana tatizo mnapenda kukurupukia mambo kila kitu ninyi mnajifanya wajuaji. Sio kila post unayoiona humu inakuhusu ww, waachie wenzio wanaoweza kuzinunua wanunue. Harafu wanaojua hii miradi wakiona post sehem hawa comment wanachukua namba ya simu wanapiga wanakuja site wanalipia tu😂 hao ndio wananuaji ila wazee wa comment hela hamna mnamalizia stress zenu za maisha kweny post na matangazo ya jamii forum. TAFUTA HELA BABU ACHA MANENO
 
Hizi apartments mtu akinunua anazifanyia biashara kwa sabb eneo uliopo mradi ni la kibiashara, standard ya mradi kibiashara zaid ndio maana unaona aminities zilizopo ni za kuvutia wageni watakapokuja kulala kwenye hizo apartments wapate kila kitu, one bedrooms unapangisha dola 100 kwa siku moja, kwa mwez una bei gani? Kama kwa mwezi unatengeza dola 2500 mpaka 3000 unashindwa kulipia 54dola kwaajili ya kuendelea kusupport vitu vinavyovutia wateja wako waendelee kulala hapo ili ww upige hela zaidi? Acha kucomment vitu nonsense ni muhimu kuuliza jambo kuliko kuropoka na kunifukizia wateja kwenye post zangu. Kama huelewi jambo bora uniulize maana namba yangu ipo hapo kila mtu anaiona, au kama Huna cha kuongea kaa kimya. Nimepost hili tangazo sio la kuchangia mada, sio topic hiyo ni Tangazo la kibiashara. Kama unaweza kuja site kununua nipigie simu kama Huna hela pita kama unapita maiti ya mtu usiemjua. Mimi mpaka sasa nimeuza zaid ya unit 5 mpaka sasa kweny huu mradi commission niliyoipata nikikuambia unaweza kuzimia, so nimepost hapa kuna watu nimewatarget sio watoa comment
 
Mbona bei kubwa sana. Yani kachumba kamoja kwa hela hiyo.
Tafuta hela babu, Bank unaweza kuongea na simu na huduma ya choo inapatikana. Stress zako za maisha yako baki nazo ww. Nilichokipost sio topic kwamba unagakiwa unatakiwa changing mada. Hilo ni Tangazo la biashara kama unaweza khnunua nipigie simu nikutumie location uje ofisini na site yetu, either ulipie au uachane nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…