Ng'ombe akinyweshwa gongo analewa na hawezi kufanya chochote hii wewe umeiona wapi ?Ni ile kali- Double Kick- inaitwa.
Ni wafugaji wa Maeneo ya Nungwi.
Ni wale-Maksai kwa ajili ya kuvuta mikokoteni ya kubebea vitu mbalimbali.
Wanawanyeshwa hizo pombe ili wafanye kazi kwa nguvu eti pasipo kuchoka mapema.
Unakuta ng'ombe amelewa mpaka povu lina mtoka,amefungwa nira anavuta mkokoteni.
Watu wa haki za Wanyama fuatilieni hilo.Haya ni mateso makubwa.Double Kick kwa Ng'ombe mla nyasi Jamani!?
Bora kwa Binadamu utakula hata Supu ya Kongoro ukanywa na Maji mengi uka uhuisha mwili.
Source: Ndugu yangu anachunga Ng' ombe huko.
Nilishangaa nilipoenda mkoa wa Mara ety punda anabebeshwa mzigo mgongoni alafu mwenye punda anatembea wakat Zanzibar mkokoteni unafungwa shingoni mwa punda mwenye punda akiwa na wenzake wanapanda huo mkokoteni na mzigo ndani yake.Ukifika Zanzibar ndio utaona Kwa macho yako ng'ombe na punda jinsi wanavyoteseka
Mimi niliwanywesha njiwa wangu wawili ujanani ..wakafa palepale....Ilikuwa gongo..Ile namba wani.Tuliwahi kumunywesha mbwa kiroba Cha Zed. Yule mbwa alichachamaa ikabidi tupande juu ya mtu Hadi alipolala fofofo tukashuka na kutoweka eneo husika
Ok, gongo huwa inatumiwa sana na wezi wa mifugo kuwalewesha ng'ombe anapoteza network wanamhifadhi hawezi kutoa sauti wala kusumbua.Nungwi-Zanzibar..na ni Double Kick Mkuu,siyo gongo ya asili
Linatoka nje loteNaunda picha ng'ombe kalewa lile jicho sasa!!!!!!
Naona litakuwa ndembendembeLinatoka nje lote
Lengo ninini hasa???
Wasichoke...Lengo ninini hasa???