Nunda la miaka ya 80-90

Madenge na mpira, madenge na mpira, la la lalaaaaaaaaaaaaa... KONA!
 
Kipo kisa kimoja alikuwa na bifu na mzee mwenye duka la dawa, akatoka na kopo lake la rangi akaongeza maneno "za kulevya" mbele ya neno duka la dawa ...na kusomeka "Duka la dawa za Kulevyia" hilo timbwili lilozuka ni balaa....
 
Gazeti la Sani enzi hizo lilitia fora sana kwa hadithi za 'Usiku wa balaa' na 'Maji mazito' !!
 
"Madenge ukikutana nae uwezi amini alikuwa mtukutu vile", 2015 ataingia mjengoni kwa ticket ya~!$
 
Duh! hivi Ndumilakuwili alishatoka Jela??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…