Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Siku moja kulikuwa na matumizi ya msamiati mwalimu wa Nunda ambae ni mwanamuke alihitaji wanafunzi watumie neno hakika katika sentensi,
wanafunzi wakanyoosha vidole ,nunda alikaribia kusimama lakini mwalimu hakumchagua akamchagua mwengine ambae alitumia msamiati vizuri ,ikapita zaidi ya wanafunzi wanne huku Nunda akiwekwa benchi,Mwisho Nunda aliamua baada ya kunyoosha kidole aliita kwa sauti kubwah.
Nunda ; Mwaliiiiiim /Mwaliiiiiiiiiiiiim mimi mimi mimi !
Mwalimu alisituka na kuona ampe nafasi haya Nunda.
Nunda ; Mwalimu nina suali mbali na hayo ya msamiati .
Mwalimu : Haya uliza Nunda !
Nunda : Je mwalimu ushuzi una vidongedonge ?
Mwalimu ; Hapana Nunda hauna ,kwa nini ukauliza hivyo ???
Nunda: Mwalimu nina hakika nishakunya kwenye suruali :becky: