S swanga Member Joined May 21, 2012 Posts 83 Reaction score 17 Oct 1, 2012 #1 Number za gari hizi T 000 ASS, T 000 MKE T 000 MBO T 000 UKE Itakuwa Mbaya teh
A Ankara Member Joined Aug 2, 2012 Posts 30 Reaction score 18 Oct 1, 2012 #2 na hii je? T OOO VUZ- Mpaka zitakapofika series za M, U na V labda utakuwa umetangulia mbele za haki. (Just jokin) anyway,inawezekana ustaarabu utaingia akilini kwa jamaa wa TRA.
na hii je? T OOO VUZ- Mpaka zitakapofika series za M, U na V labda utakuwa umetangulia mbele za haki. (Just jokin) anyway,inawezekana ustaarabu utaingia akilini kwa jamaa wa TRA.