D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,383
- 3,642
"Hakuna mtu aliyezaliwa akimchukia mwingine eti kwasababu a rangi yake, au asili yake au dini yake.Watu hujifunza kuchukia, na kama wameweza kujifunza kuchukia, wanaweza kufundishwa kupenda, kwa maana upendo ni asili ya mwanadamu na hutoka moyoni kuliko kuchukia."
ELIMU:
1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutoa mfumo wa kuwapatia pesa wananchi hasa masikini, alisema " Njia nzuri ya kuwapatia pesa masikini,kila familia ni kuelimisha watoto wao kwa kuwapa elimu bora.Hakuna namna nyingine,uongo tu, namna nyingine mtapata taabu tu...Serikali haichukui pesa hivi na kusema masikini njooni! halafu inawapa pesa hivi, hakuna! Serikali ya wapi inafanya hivi?...Mwl.J.K.Nyerere.
2.
3. "Elimu si sawa na kuijaza ndoo,bali ni kama kuwasha moto"-William Yeats.
4. "Kujifunza kwa kuhusianisha mawazo na uhalisia wa mambo au vitu vilivyotuzunguka ni njia nzuri ya kujipatia ujuzi na maarifa, pia kumbukumbu ya muda mrefu" -Henry Kazula.