Nukuu ya Ndg. Donati Salla

Nukuu ya Ndg. Donati Salla

Dr Salla

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
16
Reaction score
22
"Ukiona Kiongozi anashindwa Kuwajibika ujue kwamba, huyo Kiongozi ni dhaifu, na yupo kwa ajili ya Maslahi Binafsi bila ya Kujali Maslahi Mapana ya Umma"
********************************
Pia Ukiona Wanaopaswa kumuwajibisha Kiongozi fulani hawamuwajibishi, ujue kwamba, Wawajibishaji ni dhaifu, na wao wapo kwenye kundi lile lile ambalo linapaswa kuwajibishwa. Inapofikia hatua ngumu kama hii, ni lazima Umma Uchukue hatua Stahiki.
 
Back
Top Bottom