Nukuu ya Mwana-Mtwara

Nukuu ya Mwana-Mtwara

mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
2,767
Reaction score
1,068
"Hatufurahishwi na vurugu zilizojitokeza, hasa hatua hii ya kuua watu na kuharibu mali za viongozi pamoja na serikali, lakini CCM itambue kuwa ndicho chama dola tulichokichagua kituongoze, kama viongozi wake wanatukimbia inaleta picha gani?" alihoji mwananchi mmoja.

Source:Tanzania Daima 28/1/2013
 
“Hatufurahishwi na vurugu zilizojitokeza, hasa hatua hii ya kuua watu na kuharibu mali za viongozi pamoja na serikali, lakini CCM itambue kuwa ndicho chama dola tulichokichagua kituongoze, kama viongozi wake wanatukimbia inaleta picha gani?” alihoji mwananchi mmoja.

Source:Tanzania Daima 28/1/2013

hao jama wanachosha ndugu.picha wanayoleta hapo n kwamba wameshndwa kazi waliyopewa.kwa iyo wananchi kazi kwenu 2015.tshirt,kofia,kanga,chumvi na elfu tatu za mwaka 2010 vimeisha ila maisha bado magumu tufumbuke wtz
 
"Hatufurahishwi na vurugu zilizojitokeza, hasa hatua hii ya kuua watu na kuharibu mali za viongozi pamoja na serikali, lakini CCM itambue kuwa ndicho chama dola tulichokichagua kituongoze, kama viongozi wake wanatukimbia inaleta picha gani?" alihoji mwananchi mmoja.

Source:Tanzania Daima 28/1/2013
Tatizo ni kwa nini uliwachagua wakati ulikuwa na historia yao mbovu toka kiwepo madarakani miaka 50 iliyopita?
 
Back
Top Bottom