Nukuu ya leo kwa wana MMU

Akina ngosha utawajua tu.. wewe unaambiwa you are the best under the sun unavimba kiichwaa.. mbona hujiulizi ni nani best pembeni ya jua kwa upande wa kask, kus, magh na mashariki? We ng'ang'ania chini tu..

Yamoto ndio imeshika mji kaka, Tized na wanawe.
Khantwe najua unajua how best I am nikitokea pembeni ya jua... mwache tu huyu ngosha Ntuzu abakie tu chini ya jua



Hahahaaaaa...! Mambo ya mkubwa na wanawe...! Tized ndo mambo yake hayo
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
Heaven Sent naisi ushamaliza kozi kwa rasi simba sasa anza kazi ya kunitafsiria lol mie ichi kiyunani sikiwez teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…