Nukuu ya leo 01

Fafanua kidogo mkuu umeshanichanganya!! Mimi heshima yangu pekee ninayoilinda ni kutokushikwa tako Hadi siku nakufa, Sasa hapo kwenye chochote hebu tuwekane sawa unamaana gani?
Haya mambo ya hate kushikwa tako ni ideologies mmelishwa kama mlivolishwa hizo dini za kitumwa
Hakuna binadamu anazaliwa na hizo hates zote ni za kurithi
 
Nyie ndo mnaweza kufanya lolote ili mpate hela. Mnaweza hata kuuza miili yenu nyie.

Heshima ainunuliwi ni wewe mwenyewe unavyo jiwekea ndani ya jamii
Haya sema hivo hivo ila ukweli upo pale pale kama hauna chochote hiyo.heshima haina maana.

Kuna mambo hutofanya kwa kuona itashusha heshima zako
 
Fafanua kidogo mkuu umeshanichanganya!! Mimi heshima yangu pekee ninayoilinda ni kutokushikwa tako Hadi siku nakufa, Sasa hapo kwenye chochote hebu tuwekane sawa unamaana gani?
Unajua maana ya heshima lakini...
Alafu ww ukute ni faza je unaulizwa nini maana ya heshima unaanza kuingelea kuhusu kushikwa tako seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…