NuKSi

ahahhahahha nacheka kama mazuri!
sasa fanya hiv ili tuamini kuwa ni kweli hebu mgegede tena af tuone utapatwa na nini?
mi siamini kwenye hii makitu!

Nimemuogopa, hata jana nimeonana naye kiwanja, kataka kuniganda nkampa bia moja nikakimbia balaa ..........!:heh:
 

Hivi unawezaje kubwia pombe alafu unaendesha gari then unamzingizia huyo dada? imani zitakupeleka pabaya aisee.
 
Hoja nyingine ni ngumu kupata mashiko..'ILA NAWEZA KUUNGA MKONO HOJA, nimewahi kuachwa na ndege JNIA kwasababu ambazo hazipimiki ila nikafikiri ni yule binti tulispendi weekendi kwangu ana nuksi ,maana nilikosa sababu ya kwanini imetokea wakati nimewah airport, nilianza kuongea nasimu mpaka muda checking in ukaisha,. pia siku nyingine nilispendi na binti mwingine vile vile nikawa nasafari ya kuendesha gari zaidi ya 180km gari yangu ilikoswakoswa" fatal accident" maana gari iligeuka ilipotokea katika harakati za kukwepa kugonga mti,nyumba,watu, kibao cha shule kilicho jengwa kwa cement, hali ambayo haielezeki mtu kuamini...hamna aliyedhulika ila gari likawa na pacha, kati ya waliofika kushudia tukio hilo walisema usimwache huyo mke ndo bahati ya kupona kwenu. maana kama ingetokea nina uhakika, hamna ambae angepona, na gari hata garage isingeweza kufufuliwa.
 
lazma upate nuksi maana unamsaliti mpenzi wako wa ukweli.
 
ahahhahahha nacheka kama mazuri!
sasa fanya hiv ili tuamini kuwa ni kweli hebu mgegede tena af tuone utapatwa na nini?
mi siamini kwenye hii makitu!
unacheza na sumaku!!!! utanaswa :lol:
 
kuna mwanamke nili mlala weeee warning letter zilifululiza nkaishia na summary dismissal ....wako wanawake mlango wa saba.......

Hahaha, umenikumbusha. Kuna dada mmoja kila mme aliyetembea nae, alifukuzwa au kuacha kz katika mazingira ya kutatanisha. Na kuna mmoja amesota huu mwaka wa 5 hana ajira na ajabu yuko smart. Baadae ndo ikafahamika mamake bidada anatumia nguvu za giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…