Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?

Ukikutana na wa hivyo ni lazima awe jini?si Kwamba wengine ni watu tu?kama nimeelewa bandiko lako.
Mkulu
Hiyo kitu ni kweli kabisa ipo...kuna mwanamke ukitoka naye tu au kuoa....ndiyo mwanzo wa mabalaa...kazi utafukuzwa..ukipona onyo...nyumba itaungua moto au kuibiwa... mahusiano mabaya na ndugu na rafiki...ili mradi shida....
Nina rafiki yangu wa karibu...ilibidi-advorce ili maisha yaendelee...cha ajabu walikuwa wanapendana kama kawaida...WATU WAZIMA walimstua kamanda wangu...sasa hivi maisha yamerejea, ameanza upya...kuna vitu vya ajabu sana kwenye ardhi hii ya walimwengu...
Wengine wanasema tunaishi, tunaoa, tunazaa na mashetani a.k.a majini...unakutana na kaka au dada maridadi unadhani umepata....
wadogo zetu wanakuja hapa na post zao.... oohh, jana nimepata demu papuchi yake tamu siyo kawaida, kumbe papuchu ya jini...LOL
NI SIRI KUBWA SANA KAMANDA... TUOMBE MOLA ATUNUSURU
ukikutana na wa hivyo ni lazima awe jini?si kwamba wengine ni watu tu?kama nimeelewa bandiko lako.
Mpenda kimbweka Heshima ya utu uzima kwako!Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?
kuna wanamme nuksi pia?
umesahau mkuu kuna mtu alikuja na uzi hapa tuwe makini maana yeye baada ya kumaliza kungongoka alipotaka kwenda kutupa mpira bibie akamkataza na mule mlikuwa na zana zake,basi yule msichana akampa vitisho atamfanyia kitu mbaya na tangia wakati huo anamwagia mapesa tu maana alizipeleka zile nanihio kwa babu buhanga!!hahahahaha mimi49 umenichekesha sana.