Nukia classic na perfume za kijanja

Huu mzigo upo kwenye offer kwa atakae chukua nenda kwenye maduka yenu kule posta mnapo uziwa 150k ukikuta tofauti na huu nakurudishia ela yako
 
Offer hii mwisho tarehe 14 Nov mzigo ukishaingizwa kwenye flemu za kioo mtaununua kwa bei zilizo zoeleka.
 
Thnx Guys naona mzigo mmeupokea vizuri....
 
Kaka nimekucheki pm naona kimya..nahitaji hiyo arman code fasta
 
Huu mzigo upo kwenye offer kwa atakae chukua nenda kwenye maduka yenu kule posta mnapo uziwa 150k ukikuta tofauti na huu nakurudishia ela yako
100% inarudi shaka ondoa
Hizo posts tatu zinajichanganya. Unasema ni clone halafu akalinganishe na zile OG zitakuwa sawa kweli?! Mfano Clone ya iPhone inaweza kuwa sawa na OG iPhone?
 
Niliposema clone naamanisha under lisence..Dolce&Gabbana hawezi kuifikia Dunia nzima yeye pekee....nchi nyingi zinatoa brand haimaaishi ni fake
 
Kwa wale ambao wamechukua mashahidi
 
Mfano mzuri ni kampuni ya Smart wanatengeneza perfume zote zenye majina uzijuazo.....zile unaweza kuita fake coz mmiliki halali ajampa lisence...tofauti na hz..

TOPIC CLOSED..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…