Japo umri sio kigezo. Unaweza kuoa umri wako mkasumbuana tu. Ukapata aliyekuzidi umri mkaongea lugha moja. Ndoa ni maelewano, umri una nafasi ndogo sana. Haya ni mawazo yangu, sio lazima uyakubali. Msanii kwa msanii ni bahati mki make a good family. Marriage material kwa wasanii ni shida, pande zote mke na mume.
kwani mbona hata wewe ukitaka kufunga ndoa simple inafaa imefikia mahali kila mtu afany jambo lake sio kwa sababu yule kafanya sherehe kubwa basi na mimi nafanya nenda kanisani funga ndoa then umeeanda kapart chako kadogo mnapita hivi
Sivyo hivyo unavyofikiria wewe!, namaanisha staili yao ya ufungaji wa ndoa naupenda sana. MM binafsi napenda sana hiyo staili yao............lakini pia naona kama ndoa za zinaafadhali kidogo kwa wanandoa kuachana, sisikii mara kwa mara ndoa zao zikivunjika vunjika na makashfa mengine kama upande huu wetu. Sijasema nakushauri USILIMISHWE!!!
Ndoa ni jambo na kheri na wapo wengi waliooana wakiwa wadogo zaidi ya nuhu na Hadi Leo wanandoa zao vizuri chamsingi kuomba mungu awasaidie kuvuka vyema kipindi cha mpito cha ndoa