Kama namuona shilole jinsi atakavyotokwa povu.Ndoa nazo za wasanii huwa ni za mwendokasi kesho na kesho kutwa utawakuta wanaanikana kwa shigongo.
Ila mie nawaombea heri na baraka tele katika safari yao
Konda wa bodaboda! Waislam hatupimwi afya,je nyie mnaofunga ndoa huku bibi harusi ana mimba mmepima afya?
Nani au kina nani wanafunga ndoa kabla hawaja,,,,,,,,,,,kwa sasa?
Kama mmesha..............kuna haja gani ya kupima afya?