Ntayapeleka wapi haya??

Ntayapeleka wapi haya??

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,997
Reaction score
2,577
Soko lake lipo wapi wadau wa biashara?
 

Attachments

  • 1436701501100.jpg
    1436701501100.jpg
    30.8 KB · Views: 1,231
Tengeneza sticker zenye jina la magufuli, tumia super glue bandika juu ya jina la lowasa
 
Peleka EBAY😛eace:

Au Team Lowassa ndo isha sambaratika?

Marafiki wa Lowassa je, hawangependelea kuvaa mashatai yenye jina la rafiki yao?
 
Nimechekaaaaaaaaaa mpaka basi!
Tulisema humu ndani wakatutukana eti Lowassa rais tu! Tutake tusitake
 
Soko lake lipo wapi wadau wa biashara?

Vipi kwani? Au kwasababu umekosea kwenye speling umeweka double s. Yatauzika tu, we peleka kwenye mnada wowote wenye wamasai especial monduli uone kama hujarudi kuandaa nyingine kama hizo.
 
Kwani alisema hatagombea ubunge?

waweza pata soko Monduli....
 
Nimechekaaaaaaaaaa mpaka basi!
Tulisema humu ndani wakatutukana eti Lowassa rais tu! Tutake tusitake

Mkuu umeona enh?! Kuna watu nilikuwa nawangojea tu hapa jamvini, 'Ooh!Lowassa chaguo la Mungu' Ooh! Yesu alisemwa na kutukanwa pia! Ooh! Kaombewa na Ma-sheikh, maaskofu, wachungaji! Eti ooh!Atakuwa rais ndani au nje ya CCM.

Walileta mchezo walisahau MUNGU hadhihakiwi!
 
Back
Top Bottom