Ntarahamwe ni nini?

Shekidodo

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Naomba kuuliza maana ya hilo neno. Maana kila nikiliona napata ukakasi.
 
Kikundi cha watu fulani wenye itikadi kali na mlengo wa kibaguzi dhidi ya watu wa jamii nyingine.Mara nyingi wanakosa uvumilivu na hutumia vurugu na fujo kama njia ya kuelezea hisia zao zilizojaa chuki dhidi ya watu wa jamii nyingine.Angalia bunge linaloendelea hivi sasa na utapata majibu yako kwa ufasaha kabisa.Intetahamwe wamo mle.
 
=CCM


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Ni kundi la wauaji kifupi chake ni CCM wanahusika na utekelezaji wa mauaji nchini Rwanda na Burundi..
 
The name Interahamwe can be translated as "Those who work together" or "Those who fight together". Interahamwe can be broken up this way: Intera is derived from the verb gutera, meaning "to work". The hamwe means "together" and is related to the word rimwe for "one". "Work" was used as slang on racist radios-working meant using the machete or killing.[2]
 
Kundi la manyumbu......! Sifa yake kubwa akijitosa mmoja the others will follow no questions asked
Kwa kifupi = CCM
 
dah hii inasikitisha sana kwa kweli, sasa ndio nn hiki umeandika hapa
 
lipumba na uprofesa wake hakutumia akili kutamka hayo maneno,
wananchi tusiendelee kulitumia
 
Huyu amewahi kuwa mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania. Sikutegemea kuwa anaweza kuwa mtumwa wa mawazo kiasi hiki.

"Huyu askofu MTETEMELA nimemuweka kwenye kundi moja la watu wenye fikra mgando kama alivyo mjumbe mwenzake AMON MPANJU
 
lipumba na uprofesa wake hakutumia akili kutamka hayo maneno,
wananchi tusiendelee kulitumia
kwa mujibu wa maelezo yaliyo kwishatolewa neno lina maana stahiki na ni muhimu watu waelewe maana yake kisha wajue uzuri na ubaya wake. Limeshakuwa "coined" na sasa utalisikia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…