Ntapata wapi mbegu za uyoga.?

Ntapata wapi mbegu za uyoga.?

Dj toni

Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
30
Reaction score
13
Wanajamvi kama kuna mtu anajua wapi ntapata mbegu za uyoga anisaidie tafadhali...
 
Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga

Onyo:

Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena.
 
Uko wapi? Kuna mahali zinauza Mbeya tuwasiliane. Aina ni Oyrster.
 
Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga

Onyo:

Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena.

Unafahamu unachokiandika mkuu?
 
Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga

Onyo:

Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena.
Huyu ndio maskini ya mungu...hakuna analolijua...
 
Back
Top Bottom