Ntapata wapi hii keyboard

Ntapata wapi hii keyboard

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Habari wana jf laptop yangu aina ya toshiba sattelite c850 imegoma keyboard baadhi ya keys sa nahitaji kureplace naulizia wanapoziuza maana sitaki kutumia external keyboards
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    633.9 KB · Views: 65
  • image.jpg
    image.jpg
    408.9 KB · Views: 74
Kariakoo mkubwa...kabla ya roundabout ya mtaa wa congo kushoto kuna duka kama sikosei linaitwa Universal...
Huwezi kosa hapo.
 
Kariakoo mkubwa...kabla ya roundabout ya mtaa wa congo kushoto kuna duka kama sikosei linaitwa Universal...
Huwezi kosa hapo.

asante mkuu vipi kuhusu gharama
 
Back
Top Bottom