Ntapata wapi bar stools kama hizi???

Endelea kuzitafuta. Siku unazipata na kuziweka kwenye bar yako hupati mteja hata mmoja!Huo mzaha/utani watu hawataupenda!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]....pale mlev zimemkolea pombe anaona mbele kuna wanyama si watu tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimezpenda Hizo mtu akilewa Hawezi kuwa mgomvi coz anaona matwiga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…