Ntajuaje ananipenda ama ananitamani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ntajuaje ananipenda ama ananitamani???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 24, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Hili swali ni gumu sana kwa watu wengi ikiwezekana na mimi...yaani yale mambo mengi yaliokuwa yakifanywa na wapendanao sasa watamaniao nao wameamua kuyafanya just kufaulu wanachotaka na kuanza kuonyesha rasmi wao ni nani????/

  sasa kwa msaada wa wale wanaoenda kuoa ama kuolewa ni vyema ukamwomba sana mungu watu wengi wanatamani na si kupenda kama zamani enzi za ujana wetu so ni wakati wako kumjua mungu na kumwomba mungu akuonyeshe..yawezekana kuna mambo mengine zaidi ya haya ambayo unaweza mtambua mtu anaekupenda kweli ama kukutamani kabla ya ndoa ...nasema hivi maana akishaaingia kwenye ndoa hilo lwako akutamani akupende no opt...saidia hawa wanaoenda kujaza makanisa jumamosi ,ijumaa zijazo na jumapili lkukiri madhabahuni wanapendana na baada ya mwezi wanarudisha certificates za ndoa...tuwasaidiaje
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Dalili ya kwanza atataka mdo; yaani hilo linaweza kuwa ajenda yake kuu na kwa mwanamke atapenda sana na hata kusisitiza umpatie vitu; na relationship yake itakuwa based katika wewe kumpa kitu au msaada fulani!
   
 3. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Swala gumu sana, kusema kweli ni vigumu kuelewa mapema madhumuni ya mwenye kuomba penzi, watu wamekuwa wajanja mno, inafikia mpaka njemba asha mega tunda na kuingia mitini, ndo fahamu yamjia mliwa kuwa eeeehh kumbe ilikuwa hivyooooo!!!!!.

  Muhimu ni kumweka maanani Mungu na kujiheshimu!!
   
Loading...