Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,805
Hivi hizi jezi zishaingizwa sokoni au bado? Naziona moja moja.. Natafuta kama hizo tatu.. C mnajua 2020 hii?
Juz kati!
Khaa! Kuna watu mko fiti kwenye kusoma hadi nukta.. Sikuona hiyo biashara inayoendelea hapo chini....
Khaa! Kuna watu mko fiti kwenye kusoma hadi nukta.. Sikuona hiyo biashara inayoendelea hapo chini....
Nenda tawi lolote la yanga utazipata mkuuHivi hizi jezi zishaingizwa sokoni au bado? Naziona moja moja.. Natafuta kama hizo tatu.. C mnajua 2020 hii?
View attachment 1356333