baby ulinisaliti, kwanini lakini hukuona tofauti kwani? soma PM
Shem we acha tu! we subiri uone ninavyolipua mtu hapa ni mabomu na magrumeti nayaweka tu sana.
poa yaishe bahna ila nilikasirika sana!
Luv u
mmh shem nimefuta kauri hadi sasa sijui ana waume wangapi labda aseme mwenyewe.
Msikae mbali sana! mwite ambulance za uokoaji
Ninae mmoja tu jaman
Yameisha bby wangu sirudii tena
poa yaishe bahna ila nilikasirika sana!
Luv u
na usirudie kabsa ujue ndo ashatangaza dau watu walianza kummendea.
Mpe pesa, we mpe pesa, kata mshiko, we toa helaaaaaa..........!
Mmh uyo shetani akae mbali kabisa
hapo tu ndo ninapokupendea huachi kumkemea shetani.
Hahaaa bila kumkemea kwa nguvu zote huyu ataleta mazoea
nakupenda bure mama maombi ndo kila kitu.
Na ndio maana unaniombea kila wakati nakupenda mke wangu