Ntafurahi sana

hebu njoo tuongee uku mwenzangu eti shida nini unajua bado sielew! Shemej yang simwon popote yuko safe uko aliko?

Mwenzangu hata mi simwoni,apa ndo naelekea kituoni kutoa taarifa mana hata hali aliyoondoka nayo asubuhi siyo nzuri!
 
wahi mama utadaiwa wewe ujue, ikiwezekana peleka maomb kanisani maana mganga hajigangi..

Sawa shogaa nitafanya hivo,maskini mume wangu sijui nini kimemkumba jamani. Sijui ni mkono wamtu
 
Humu ndani niliaafiri kidogo nakuta wote mmeozeshana.. haya na mimi nipeni kofoli aliyebakia.. NB: sio wale wenye jinsia me na kujiandika kwa majina ua kike.. pu.. watu wao watawatafuta.
 
jaman msije mkadhani ulikuwa ukwel no! ulikuwa utan
 
yaishe jaman! msake my v aliko mlete hapa
 
Shem wangu ICHANA upo?Kaka yangu hajambo?Apigwe tu faini,naunga mkono hoja!

hatujambo kabisa shem je wewe na mkeo hamjambo,ntamfikishia salamu,yupo tu bussy kidogo na shughuli za kifamilia kuna mradi tumeanzisha basi ndo anasimamia.namshukuru MUNGU kwa kunipa mume anayejua kunijali yeye ndo sababu ya furaha yangu,.nmpenda sana Mokoyo.
 
Last edited by a moderator:
Usiogope na usiharakishe na wala usilazimishe, iachie moyo uamue wenyewe, atakuja tu na moyo utakwambia huyu ndiye katika hali ya amani kabisa!

Mshirikishe Mungu,kwani maandiko yanasema mke mwema hutoka kwa Mungu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…