sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Charity begins at home,hayo unayoyataka uwe nayo ww kwanza ndio utampata
Hawa wanahitaji kikao cha dharura, ndoa yao itakuwa inashida 😱
Kweli aisee hata mimi sitaunda tena, valentina aje kwanza hapa
Enhee nambie mzee wa busara
Umetenda nini kwa mume wako?
Mbona kama sielewi mimi???.Laazizi Bantu lady njoo unieleweshe??
Valentina ebu mtafute huyo mumeo mje wate hapa,mnatuchanganyaWalaaa sijamtenda kitu jamani
Hah hah haaaah,haya bana