Ukifika stand dodoma, uliza stend kuu ya daladala ya Jamatini. Hapo utapata daladala za kwenda chuo cha mipango. Pia hata ukipanda daladala za msalato au veyula utashukia kituo cha mipango. Chuo kipo barabarani kabisa. Nauli ya daladala ni tsh 300 na tax ni sh 6000. Ni bora uondoke ar trh 11, maana safar ni safar, hujui ya njiani. Guest jiran na mipango zipo ndio.
Kuna mabasi ya Arusha -Dodoma direct kama Abood, Hood na mengine ni safari ya siku moja ukiondoka AR saa 12 mkienda vizuri bila tatizo unawez kufika Dodoma same Day saa 3 au 4 usiku. Dodoma mjini guest kibao usihofu. Alternatively, kuna mabasi ya Arusha -Dodoma kupitia Babati na Kondoa nayo huondoka AR muda huo lakini yenyewe hufika mapema zaidi maana njia ni fupi zaidi. Ukipanda haya huna haja ya kufika Dodoma mjini maana basi linapita hapo hapo nje ya chuo ni suala tu la kuwaeleza wahusika wa basi wakuteremshe hapo. Ukiongeza na maelekezo ya Kaumza hapo juu utafika Chuo cha Mipango. Bon Voyage!
Hongereni sana kwa maelezo mazuri mliyompa Huyo jamaa, kwa kuongezea tu Kama yeye ni mvulana na usiku baada ya usaili akipenda kupumzika na kupata mrembo aende maeneo ya Chako ni Chako atapata mrembo
Mbona unaandika mwandiko mbaya,wewe umemaliza form four kweli????Jamani samahanini me ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne na nimepata dvtin three ya 25 na sihitaji kwenda advance n napenda kwenda chuo lakini vyo vyenyewe napendelea kiwe udom au mipango naomba ushauri nikasomee couz gani ila nilisoma biadhara so nina d ya bkepng na comerce pamoja na c ya history, language na kiswahili pleas naombeni ushauri wenu
kaka angu huo si ushaury mbona waanza leta majunguMbona unaandika mwandiko mbaya,wewe umemaliza form four kweli????
Hayo so maisha KAKA usidharau usiyemjuaNdio maana umefeli,kwa huo mwandiko walimu walipata shida sana.jaribu wewe kusoma ulichokiandika hapo juu.